Natafuta Kazi ya ICT

Natafuta Kazi ya ICT

Joined
Jan 24, 2015
Posts
3
Reaction score
2
Habari Wapendwa wa JF

Mimi ni Kijana wa Kitanzania, Jinsia ya Kiume, Mwenye Umri wa Miaka 25.

Elimu Yangu ni ya Diploma ya Computer Science niliyoipata Katika Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam.

Natafuta Kazi Yoyote kwani Nina Uzoefu Mzuri katika Masuala ya IT Pamoja na Ufundishaji Mzuri wa Masomo ya Hisabati, Networking na PC Maintain

#0715908698
 
Unaeza kuanza na internship? Taasisi ya serikali! Baada ya muda upo uwezekano wa kuyajenga!
 
nahitaji sana hii kwa ajili ya experience.Ni mikoa gani hasa maake niko Mwanza kwa sasa.

Huko Mwanza umetembelea makampuni yanayohusika na IT?au huyajui?Kuna hotel kubwa kibao hapo umeshindwa?Barmedas umeenda?Kuna kampuni mpya sikumbuki walitangaza kama kazi tano hivi,hapo mjini umemaliza ofisi zote mpaka umeamua uje dunia nzima?Bugando hospital umeenda?Au mnataka tuwe tunatajia mpaka no za milango?Medical research?
 
Duh!! 🙄
 
kwani we ni Police?
 
nina kampuni, bado haijatengemaa

natafuta it lkn napata shida moja, kupata IT ambaye tutaganga maisha lkn mipango ya mbeleni ni mizur

binafs naelewa san ma IT maofisini. Yyt mwenye ujuzi huo njoo mtaani tujipange. maofisin kuna dhalilisha kiuchumi, utaweza kuishia onbaomba.

mtazamo wa mradi wetu, uhakika wa tenda za kutengeneza kazi za laki sita kila wiki hali ikiwa nzur hadi kazi tatu nne, ni sawa na mil 1.8 kwa mwezi

ni kukomaa na kuzitafuta kazi. ninachoshaur ni kukomaa, na kuvumilia ugumu, bila kufany hvyo, no business.

ma IT, yyt alietayar, anicheki. ni pm
 
kwani we ni Police?
Nime mtajia kwani utakubaliana nami watu wengi wanapenda mtelemko lakini nataka nikuambia suluhisho lipo huko mtu alipo lakini hatutaki kujishughurisha.Mwanza ni jiji,kuna ofisi nyingi tu na IT inatumiwa karibu kila sehemu,sasa unakuta mtu anakimbilia JF wakati hata sori ya viatu vyake hajaitumia vizuri.
IT ipo vyuoni,ofisini,kwenye NGOs mabalimbali,viwandani,redio na TV station list ni ndefu.kuna vyuo vya computer kama UCC na vingine vingi kote huko wamepita au?
 
Back
Top Bottom