Natafuta Kazi ya customer Care

Natafuta Kazi ya customer Care

Naitwa Doris Gabriel naishi Dar natafuta Kazi na uzoefu wa front office nikadili na customer Care,telephone operating system, receptionist pia nikafanya field Serena hotel, Dodoma hotel na nikafanya training strategies insurance pia kama itapatikana kazi yoyote halali inayoendana na niliosomea naomba watanzania mnisaidie nipate ajira

Sent using Jamii Forums mobile app

Hi Doris,

contact me 0717935186
 
Wadada wa humu MNA dharau sana MTU unafuatwa inbox unaambiwa unitafute ili tuone namna ya kusaidiana ila hata meseji hamjibu...

Hiyo tabia ya kudharau kwa kuangalia profile za watu si nzuri na usidhani kazi ni mpaka uajiliwe ili uwe mtumwa... Kuna vitu unaweza pewa issue mambo yakaenda .

Tupunguze kufanya maamuzi kwa kuangalia profiles za watu .

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Pm me
 
Wache wafu wafe wawazike wafu wao..!
 
Sijaona alienifwata nikamzalau nisimjibu pia sina hulka yakumzarau nisiemjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom