natafuta kazi wadau naombeni msaada!

fadhil-fathermo

New Member
Jun 14, 2012
2
0
form 6 leaver since 2010,fluent in english&swahil,computer literate currently I'm security officer/Guard of KK-The Group of Companies at Double Tree By Hiolton Masaki,Dar es salaam.
Ready to work anywhere & anyplace!
contacts:
+255 652 797 634
fadhilfathermo@gmail.com
facebook»fathermo
 
Anywhere, any place..... Hapo KK hapawezi kuwa anywhere na anyplace? Kwanini unataka kumkimbia mwajiri wako?
 
Hebu jaribu hapo kijana

wadau mgodi wa tulawaka wametangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo
- operators (post 10)
- security (post 15)
- supervisor (post 7)


wenye vigezo kazi kwenu tumeni kwa email hii
applydar@barrick.com au mawasiliano zaidi 0766920604
mwisho wa kutuma maombi ni 30/6/2012
wakuu nimeshindwa kuliscan tangazo lote sababu nimeliona wakati naingia kazin asubuhi na mda wa kutoka nijioni imebedi niwape kwa ufupi tu ila kwa maelezo nimewaibia hiyo namba muwasiliane na mhusika mkuu
tusaidianeni jamani maisha ni magumu kitaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom