jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Nimesoma kidato cha NNE had cha sita !!Na CV yangu yaan Academic CV iko vizur sana tu !!
Lakini nilikua nataka kupata kazi ya temporary walau ya mwezi mmoja october- November ambao sina kitu cha kufanya kuniingizia kipato!!.
Ni matumaini yangu humu kuna watu mbalimbali wenye link au wamiliki wa ajira!!
Shukran