Natafuta kazi system na software development

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Habari wakuu natafuta kazi ya software na system developement nimebase sana kwenye web developemnt natumia php javascript pia nimeanza kushift kwenye fluter for mobile developemnt pia naweza kushift kwenye language yoyote kwa muda mfupi pia nina uwezo wa kuwork more than 16 hours non stop
 
"natafuta kazi ya software na system developement"- Nyie ndo mnafanya watu wengine waliosomea IT wanaonekana vituko huko mtaani unatafuta kazi ambayo hata huijui, nadhani hata tofauti ya software na web development hujui. SOFTWARE watu wana natumia C, C++, JAVA etc
"16 hours non stop"- acha uongo mkuu siku ina saa 24 uki code masaa 16 unabakiwa na masaa 8 kwenye hayo masaa 8 utapumzika mdagani?? Ukifanya huo ujinga mwezi tu unazima
 
huyu hata hajui anaongea nini,hata hajui software dev ni nini
 

Hapo kwenye muda napingana na wewe, maana hata mimi nafanya hizo codes na napumzika kwa masaa 7 tu kwa siku (masaa 2 mchana, masaa 5 usiku) ...nina miaka wala sijafa😉😉
 
mkuu natumia fluter for mobile software development au hujasoma post vizuri na masaa nane ni mengi sana kupumzika
 
Nadhani kwa fani yako ulivyo jinasibu humu,ilibidi useme unatafuta tenda ya kutengeneza system,au website

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usije ukadhan kama ww huwez kuwork for 16+ hrs bac wengine hawawezi. - kukaa kwenye screan kwa masaa 16 mwezi mzima?? Nani anaweza ??, kwa siku 5 au 6 unaweza lakini sio mwezi mzima hata uwe tena una program nini

damuni anaweza kukaa anafanya coding 16+ hrs nonstop. I cant tell much lkn working for 16+ hrs is normal for a real programmer. - Normal? acha utani

ukifikiria projects kama artificial Intelligence hapo hata usingizi unatoka coz brain inakua active sana kipind hicho. - Bongo mpaka sasa sijaona programmer yoyote aliyefanya project ya IA popote pale hata ya kudetect fraud tu bado sijaona
 

Okky mkuu. You are right
 
 

Attachments

Dah huyu jamaa alikuja sana juu inshu za kutetea ukada. Nowdays kimyaaaa, pole bro karibu benchini
 
Hawa watoto walio maliza shule juzi wanajiwazia wao wenyewe tu. Nina hakika akipata hiyo kazi kwa siku tano tu ataanza kulilia OT baada ya hapo utasikia nilipitia hospital, hapo atadai hakuandika kuwa anaweza kufanya kazi masaa 16.
Computer ina chosha sana sio kuweka matako chini na kuzunguuka kwenye kiti tu.
Sina tu hiyo kazi ya "SYSTEN DEVELOPMENT" maana toka 1999 kuwepo kwenye technology sijawahi kutana na hiyo kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapo w
project za AI wapo wengi tu.... Sema wabongo sio kama wananaijeria wanaijeria na wakenya wakifanya kitu kidogo tu dunia nzima inaju.....

Incase of AI projects sasa hivi kuna moja inaendelea ya kufight deforestation in Rufiji Delta for Tanzania Carbon Monitoring Center.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…