Natafuta kazi Shule za secondary wilaya ya Ubungo

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Husika na kichwa hapo juu, naomba kujua shule yoyote ya secondary Binafsi au Government ambayo ina Changamoto au Upungufu wa Walimu wa PHYSICS na MATHEMATICS.
 
Back
Top Bottom