Natafuta kazi receptionist-Arusha

Natafuta kazi receptionist-Arusha

kiruu

Senior Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
167
Reaction score
20
Nipo arusha natafuta kazi receptionist najua sana computer kwakuwa nimesomea..experience 2 year kampuni na mahotel ahsante
 
Nipo arusha natafuta kazi receptionist najua sana computer kwakuwa nimesomea..experience 2 year kampuni na mahotel ahsante

kazi umepata, shimboni shavo, bonsavo, kamsape, shimboni......
 
Kazi unayo mkononi ebu nitupie picha yako tafadhali.
 
Nipo arusha natafuta kazi receptionist najua sana computer kwakuwa nimesomea..experience 2 year kampuni na mahotel ahsante

kazi hamna dada utaishia kuombwa no, pm nyingi na appointment kibao mwishowe UTALIWA KITUMBUA cku hzi hakuna kazi kirahsirahsi hvyo ila wapo watu WANAOTAFUTA KAZI KWENU
 
Send ur Cv to info@ec.co.tz indicate your region and position in the Subject line.
 
kivip? sijaomba kwa wachagga wenzangu nimeomba kwa wote..
 
OOiii picha gani?mazee si hiyo na wewe mbona huna
 
Ahsante kwa ushauri sana bro,naomba kazi basi kama haupo kwenye kundi hilo na hao wala k...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom