Hapa nipo muda sana kaka, kule naona kazi nyingi watu wanapeana kwa status mkuu, nahitaji nipate connection nilisukume hili gurudumuKijana programmer unakosaje kazi ndugu yangu.
Nenda www.freelancer.com
Kuna kazi nyingi za freelance ujisajiri utapata kazi , .
Ahsante depal, kwa masuala ya malipo, sijaweka nguvu kubwa sana huko, nahitaji kukuza carrier yangu kwanza, ukiniconnect nae nitashukuru sana.Kuna mtu ningekuconnect nae but I bet hatokulipa vizuri as you deserve.
Mkuu kama uko vizuri kama unavodai basi PM for details.Mimi ni mhitimu wa chuo ngazi ya shahada, nimesoma ITS, umri miaka 23, napenda sana programming, naielewa vizuri Python language (Django Framework), PHP piah, najua vizuri kudesign database na n.k
Naomba msaada kama kuna mtu aweza nishika mkono nikawa sehemu ya project yake, au kama naweza pata mahali nikafanya internship, piah kama naweza pata nafasi ya kufundisha vyuo vya kati, nitashukuru sana, na nipo tayari [emoji120][emoji120]
Omba as much as you can ili upate rates za kutosha.Hapa nipo muda sana kaka, kule naona kazi nyingi watu wanapeana kwa status mkuu, nahitaji nipate connection nilisukume hili gurudumu
Shukran mkuuMkuu kama uko vizuri kama unavodai basi PM for details.
Shukran mkuuOmba as much as you can ili upate rates za kutosha.
Ahsante sana mkuu ngoja nifanye ivoShare projects zako mkuu au kama una github weka pia. Mtu ni rahisi kukuinua akiona your output.
Connection mkuumpaka programmer kazi hakuna kweli tupo uchumi wa kati.
Skills zako ni nzuri mno kwa freelancing,kwa status mkuu
Pamoja sana mkuuskills zako ni nzuri mno kwa freelancing,
fight walau upate (reviews) kadhaa, boresha profile(weka portfolio), shusha rates zako, kua mvumilivu mwanzo mgumu kidogo