Natafuta kazi pharmacy

Natafuta kazi pharmacy

Joined
Feb 7, 2014
Posts
38
Reaction score
0
Nimemaliza certificate nimefanya kazi mwaka mmoja na nusu hadi sasa nina uzoefu wa kutosha kuhusu pharmacy dispensing msaada wana jamii Forum mawasiliano yangu ni 0654416713 au 0625904866
 
Pharmaceutical Technician au Pharmacy ya mwaka 1...!?
 
Mkuu upo mji gani na unapenda kufanya kazi wapi, kazi hizo zipo maeneo tofauti tofauti.
 
Nimemaliza certificate nimefanya kazi mwaka mmoja na nusu hadi sasa nina uzoefu wa kutosha kuhusu pharmacy dispensing msaada wana jamii Forum mawasiliano yangu ni 0654416713 au 0625904866
Ukijusogeza na diploma ya pharmacy technician unaweza hata kutafuta kazi nchi jirani kama Botswana au Namibia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom