Natafuta kazi ( personal secretary)

Nipigie

Senior Member
Nov 2, 2010
121
7
NINA DIMPLOMA IN SECRETARIAL STUDIES, NA EXPERIENCE YA MIAKA MITATU AS PERSONAL SECRETARY SERIKALI KUU. MWANAMKE WA WATOTO WAWILI NA EXPOSURE NZURI ( MIAKA MIWILI AMERICA). NAOMBA MLIOKO MAOFISINI NISAIDIE . EMAIL: nipekazi@gmail.com
ASANTENI.
 
Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,318
Wee mama mbona mwezi jana wizara ilitangaza ulikuwa wapi? Yan pale we ulikuwa unafaa zaidi,ebu fuatilia Utumishi sjui kama deadline imefika au bado.
 
Nipigie

Senior Member
Nov 2, 2010
121
7
Wee mama mbona mwezi jana wizara ilitangaza ulikuwa wapi? Yan pale we ulikuwa unafaa zaidi,ebu fuatilia Utumishi sjui kama deadline imefika au bado.
.
Asantengoja nifuatilie.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom