Natafuta kazi part time

Natafuta kazi part time

lovie90

Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
11
Reaction score
3
Nina diploma ya masscom na Pr nilisoma Kenya,nimefanya kazi katika media moja kwa mkataba wa miaka miwili ukaisha,sikutaka kuendelea na kazi nikaanza ujasiriamali.Kwa sasa nahitaji kazi part time ili pia nipate muda wa biashara zangu wadau naomba msaada hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom