Nimelima mkuu... Mkazo kwenye mtaji zaidMkuu lima maharage na mahindi mkuu utatoboa
Thanks...connection ni pamoja na hiyo bossKIjana mwenzangu unashindwa kwenda hata hapo machimbo ya makaa ya mawe ukaombe kazi hata yakufunika turubah magari makubwa.
We jamaa unakatwaMkuu lima maharage na mahindi mkuu utatoboa
.We jamaa unakatwa
Hana msaada huyu trust me..
usitukane boss.. huyo tusie mjua ndo atatuweka pazuri...
Umewahi kujaribu kwenda kuomba?Thanks...connection ni pamoja na hiyo boss
Mbona makasiriko kijana..🤔We jamaa unakatwa
Una ujuz gan mkuuHabarini wana jukwaa,
Tafadhalini naomba kazi niweze kujimudu na kumudu familia kiuchumi.
Hali ni tete naelekea kukata tamaa.
Ni kijana wa miaka 32.. ni mwepesi wa kazi na pia nakuwa mwepesi kujifunza jambo lolote jipya.
Napatikana Mkoa wa Ruvuma wilaya mbinga.... Ntamudu kazi popote pale ndani ya nchi na nje pia
0755835012
Nenda liganga hapo mkuu kwa melaniUna ujuz gan mkuu
Hauoni kama kauli hii ina reflect tabia zako na kukufanya uonekane kijana wa tofauti hata kwa wasomaji wengine??Hana msaada huyu trust me.
Ni mwalimu... Economics & geo by profession.Una ujuz gan mkuu
wewe wale wale..mtu anaomba kazi wewe unamwambia akalime mtaji umempa acheni unafiki asiee.Hauoni kama kauli hii ina reflect tabia zako na kukufanya uonekane kijana wa tofauti hata kwa wasomaji wengine??
Ni kuvumilia tu..ni namna yake ya kushauri... Ila huyohuyo pia anakushika mkono na mnaenda sawa..katika maisha br Mnyunguli nimekutana na wengi..kila mmoja ni muhimu eneo fulaniwewe wale wale..mtu anaomba kazi wewe unamwambia akalime mtaji umempa acheni unafiki asiee.
Hafu me sijali kuonekana unavyataka kuniona siwezi kuishi maisha ya kuigiza kwa kuona wanaonisoma watanionaje.
Sema neno kakaAisee
Lakini mkuu, mimi sijawahi kumshauri mtu yeyote hapa jf akalime.wewe wale wale..mtu anaomba kazi wewe unamwambia akalime mtaji umempa acheni unafiki asiee.
Hafu me sijali kuonekana unavyataka kuniona siwezi kuishi maisha ya kuigiza kwa kuona wanaonisoma watanionaje.