🙄🙄🙄Umeolewa?una watoto wangapi?
Tuanzie hapo kwanza.
#MaendeleoHayanaChama
Baba wa mtoto yuko hai?jiwe angavu Mimi ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka 3 ,sijaolewa ni single mom
Asante.
Ingia facebook kuna Magroup ya kazi waweza kubahatisha.Baba wa mtoto yuko hai?
Niko Mpiji pia maeneo kituo kwa Steven Jirani na kanisa katoliki, kazi ninayo, njoo PM tuongee. Akhsante.Habari,
Natafuta kazi. Naishi Mbezi Mpiji Magohe. Natafuta kazi ya saloon ya kike au uuguzi msaidizi (nurse assistant) kituo chochote Cha afya, au kazi ya USAFI nakupikia nakufulia nakuoshea vyombo kama unatafuta mtu wa kukufulia namudu.
Asanteni.
Hii nurse assistant inamaanisha una cheti cha unesi?Bado kupata kazi ni KAZI
Unataka ukawatapeli watu?Habari,