Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,408
- 6,236
Natumai nyote ni wazima wa afya.pole kwa wasio vyema kiafya. Nina muda nimejiunga hapa JF, ila sijawahi ku post chochote.
Nime hitimu chuo kikuu mwaka 2019, lakini hadi sasa nipo nasota tu mtaani, nina degree ya water resources Engineering, naomba kama mtu yoyote anaweza nisaidia kupata sehemu ya kujishikiza.natanguliza shukrani.
NB: Nipo tayari kwa details zaidi kwa aliepo tayari, pia siwezi andika zaidi sababu ya stress