Natafuta kazi, nina Elimu ya kidato cha sita

john sinda

New Member
Apr 27, 2017
3
0
Jina: John Sinda
Umri: 25
Jinsia: Mme
Makazi: Malimbe Mwanza
Elimu: form 6
Simu: 0687741303,0762377339
Aina ya Kazi: Kazi yoyote halali

Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi no mtanzania mwenye akili timamu na uwezo Wa kufanya Kazi. Tafadhali naomba msaada wenu wakuu nipate angalau kibarua chochote chenye kukidhi gharama za maisha kwani hali si shwali upande wangu. Ahsante
 
KILA LA HERI.
 
Hivi ulifeli pale umbwe
 
Sasa hayo unaniuliza mimi!! Kwani mie ndie ninayemtunzia pesa zake? na kwenye post yake kuna mali amesema alikosa pesa za kusoma chuo!
sasa ww unayesema aende chuo kunamahal ameandka anataka msaada wa kwenda chuo....MTU had anaomba msaada wa kaz ujue anamaisha magum chuo cyo kma unavyofikilia kuwa kusoma ni bure...haipo hvyooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom