Natafuta kazi nina diploma ya Computing and Information Technology | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi nina diploma ya Computing and Information Technology

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ericmoja, Jan 14, 2012.

 1. e

  ericmoja Member

  #1
  Jan 14, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi naitwa Erick natafuta kazi nimesomea diploma in computing and information technology na ndo nimemaliza mwaka jana mwishon,nilibatika kupata experiance kwenye sehemu kadhaa.nimeambatanisha CV yangu mtu yeyote anayeweza nisaidia anaweza isoma nakuwasiliana na mimi hata kwa ushauri,no.0714 121285.Asanteni wote
   

  Attached Files:

Loading...