ester nyagawa
Member
- Sep 2, 2013
- 9
- 5
Habari zenu wadau.naitwa Ester Nyagawa natafuta kazi.profession yangu ni IT.nina diploma ya COMPUTER SCIENCE IN ENGINEERING.Kwa yeyote atakaekuwa na taarifa kuhusu kazi naomba ani PM kwenye namb 0659965555.na nitatuma cv yang kupitia barua pepe kwa yeyote etakaehitaj niitume.asanteni.