Natafuta kazi, nina cheti cha IT

Natafuta kazi, nina cheti cha IT

emmy mlyuka

Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
20
Reaction score
22
Hello marafiki wa JF

Naitwa EMMY WILLIAM ni na miaka 26 nina elimu ya certificate in IT (imformation and communication technology) nna uzoefu wa kazi mbili tofaut kazi ya cashier nlishafanya royal oven bakery, mwananyamala hospital nmb, magomeni hospital nmb kwa miaka kadhaa.

Nilishakua supervisor kwenye company ya alluminium and pvc window kwa mwaka mzima hvyo natafuta kazi naweza kufanya kaz yoyote ht customer care au supermaket kazi yenye kuniingizia kipato kizuri.

ASANTE
 
Sasa umekaa bakery umeshindwa hata elezea uzoefu wa kudukua mbinu za mapishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom