Nilichogundua Micky1989 una mbwembwe nyingi sana. Naomba kujua pamoja na hiyo certificate ya IT, una ujuzi gani kama mtu akikupa kazi leo hii? Jibu.......
Micky1989, mdogo wangu computer ni kitu kikubwa sana, yaani kuna utalaamu mwingi sana. So, you should be very specific na area yako ya kujidai mdogo wangu!