Mkuu pole sana.kuna wakati huwa nawaambia vijana kuwa shule na mtaani ni dunia mbili tofauti japo zinafanana,kuathiriana na kukamilishana.
Ushauri wangu kwa sasa ukiwa bado unatafta uajiriwe hebu fanya yafuatayo
1.Kusanya wenzako watano wasio na kazi waliosoma kozi kama yako au IT.
2.Tafteni sh.30,000 kila mmoja(najua huna pesa ila unaweza kuomba kwa ndugu rafiki au jirani au kuangalia any redundant asset ulio nayo ambayo huna matumizi nayo na iuze upate mtaji).jumla mtakuwa na sh.150,000
4.Tafteni fremu uswahilini isiyozidi 50,000 kwa mwezi
3.Fungueni ofisi ya kutengeneza vifaa vya electronics kama simu,computer nk. Toeni huduma za kuinstall software za simu na computer, burn cd, uzeni vifurushi vya tigo,voda nk
4.Kila mmoja aombe kiti kimoja nyumbani na alete ofisini
5.In case kama mmoja wenu alibahatika kununua friji akiwa chuo au analo nyumbani,basi lileteni ofisini na uzeni maji ya kufunga ya viroba. Kila kiroba ni sh 100. Pesa mtakayoipata kwa kuuza maji itawasaidia kupata nauli.
Baada ya miezi mitatu njoo hapa itupe mrejesho.
Kila la kheri
Pole sana mkuu! Vumilia utapata kazi.
Kuna wakati nilidhani mtu aliyesoma electronics anaweza akajiajiri akiwa na laptop tu kwa kuanzia. Nadhani sikuwa sahihi.
big up..kila post/reply kumi; Moja ingekuwa ya maana na nzito kama hii; jf ingekuwa moto wa kuotea mbali. hongera naamini kuna baadhi umewafungulia njia.
Mkuu pole sana.kuna wakati huwa nawaambia vijana kuwa shule na mtaani ni dunia mbili tofauti japo zinafanana,kuathiriana na kukamilishana.
Ushauri wangu kwa sasa ukiwa bado unatafta uajiriwe hebu fanya yafuatayo
1.Kusanya wenzako watano wasio na kazi waliosoma kozi kama yako au IT.
2.Tafteni sh.30,000 kila mmoja(najua huna pesa ila unaweza kuomba kwa ndugu rafiki au jirani au kuangalia any redundant asset ulio nayo ambayo huna matumizi nayo na iuze upate mtaji).jumla mtakuwa na sh.150,000
4.Tafteni fremu uswahilini isiyozidi 50,000 kwa mwezi
3.Fungueni ofisi ya kutengeneza vifaa vya electronics kama simu,computer nk. Toeni huduma za kuinstall software za simu na computer, burn cd, uzeni vifurushi vya tigo,voda nk
4.Kila mmoja aombe kiti kimoja nyumbani na alete ofisini
5.In case kama mmoja wenu alibahatika kununua friji akiwa chuo au analo nyumbani,basi lileteni ofisini na uzeni maji ya kufunga ya viroba. Kila kiroba ni sh 100. Pesa mtakayoipata kwa kuuza maji itawasaidia kupata nauli.
Baada ya miezi mitatu njoo hapa itupe mrejesho.
Kila la kheri
Good advice:
kuna kazi nyingi sana mtaani
1.akuna mafundi wengi wa LCD/LED TVs hii pia ni fulsa
2.Smart phone repair/software/apps installation
3.Unaweza pata sub contarcts toka makampuni ya simu for BTS,Genset maintenance
Mkuu kwa ulichosomea sishangai kuna kijana alisomeshwa na mzazi wake TELECOM USA alitafuta kazi akapata airtel wakawa wanataka wampe 450k pm mzee wake anadai ametumia more than 200 m kumsomesha.ushauri wangu,Tafuta contacts za mikoani jishushe upate know how ya Agriculture industry. Halafu fanya mpango uinvest kwenye kilimo.
Contacts ndo kitu muhimu kuliko vyote
kama hautojari, viettel wanahitaji sana watu wenye taaluma kama yako, nenda ukapate experience ila jitahidi kuwa mvumilivu, wacheki kupitia email hii viettelshinyanga@gmail.com, kwa mkoa uliopo andika viettel...... gmail.com then tuma cv yako au request application form watakutumia utaijaza then utaitwa kny interview amby ni online,iq, it na proffesional then ukipita utaenda kwenye oral, kuwa serious na hili hautomaliza hata mwez huu utaajiriwa,utakayoyakuta yavumilie.
Mkuu ni kweli mtaani kuna kazi nyingi za kufanya ikiwa tu graduates wetu wataacha ile superiority complex ya kujiona wao wamesoma hawawezi kufanya kazi za aina fulani. Watu wanapiga hela sana na hizi kazi ambazo graduates wanaziona kama sio za hadhi yao tena wanaozifanya wala si wasomi na wanaendesha maisha yao vizuri kuliko hata walioajiriwa.
if possible huyu kijana na wenzake waweke professional qualification zao hapo hapo watakapokuwa wanatoa huduma, nina hakika wateja wakijua wao ni wasomi na sio mafundi mchundo kama wengine nna hakika watapata connection nyingi tu.mfano waandikae;
MR.XXX Bsc.computer science(udsm)
MR.YYYY Bsc.electronics(st.joseph college of eng)
Naamini baada ya miez sita they will have another story to tell.
Kweli jf ni zaidi ya shule
Mkuu wewe ni noma sana,hii idea nitaipa uzito wa kipekee.
Pole sana ila ni kuvumilia huku unajishirikisha katika shughuli ndogo ndogo za kuongeza kipato,kwani mkuu umemaliza mwaka gani?
Kila la kheri, tunasubiri mrejesho ili na wengine wajifunze
poor dad rich dad by robert kiyosaki
Ushauri ulio makini kabisa. Tusitegemee kuajiliwa tu, tubuni na njia zetu wenyewe za kujipatia pesa.
tuma maombi hapa ofisini faster human resource ni nbagira@pyramidpharma.com
Hapana mkuu usiseme mikosi endelea kupigana kwa 2013 sasa hv sio muda wa kugiveup kuna program ya ERB inaitwa SEAP nafikiri ungeomba hiyo kwanza huwa wanatoa hela ya nauli kidogo ila ukipelekwa office serious wanakuongezea hiyo itakulahisishia kutafuta kazi bila stress sana....maana kazi ukitafuta na stress kuipata inakuwa shughuli mkuu.......kwani si umemaliza bachelor na ni chuo gani?Asante mkuu,nimemaliza 2013.mimi ninachokiona ni mikosi ila wadau wengi wanapata kazi.