Deogratias Didas
Member
- Jul 22, 2016
- 66
- 19
Habari , natumaini wote ni wazima wa afya njemaaa, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21. Mimi sina maneno mengi ninauhitaji wa kazi , iwe halali , yoyote ile, mimi ni kijana, natafuta pa kuanziaaa, mwanzo mgumu , lakini nitapambana kadri ya uwezoo wangu, naomba kwa mwenye taarifa yoyote ya kazi ani PM, na aache namba zake, mawasiliano ni muhimu , nimeona kazi nyingine uko lakini kutokana na ukosefu wa mawasiliano baina yangu na nyinyi inakuwa mtihani, mpaka mtu awe tena online kama hayuko online , inakuwa ngumu kujua nini kinaendelea
ni hayo tuu , niko Dar- 0620768164 . MUWE NA SIKU NJEMAAA.
ni hayo tuu , niko Dar- 0620768164 . MUWE NA SIKU NJEMAAA.