Natafuta Kazi niko Arusha

seguru

Member
Joined
Sep 15, 2026
Posts
58
Reaction score
108
Habari!

Nina miaka 32, niko Arusha jinsia kiume, elimu degree, natafta kazi yakuniweka mjini.

Kazi niliyokua nikiitegemea kwasasa nimeacha kwakua inanletea matatizo ya macho.

Natanguliza shukran zangu kwa wote ntakao guswa.
 
Oya we muhuni mtafute yule muhuni alieomba kazi humu akapata mtu aliemuunganisha sehemu akapata kazi kwa siku analipwa laki 1 na hana elimu yoyote, sasa sijui anapush madawa mimi sijui wewe si unataka kazi? Fukua fukua huo uzi utaukuta humu chukua namba ya jamaa mpigie mwambie na wewe unataka akuunge kwenye hio kazi ambayo kwa siku anapewa laki kwa mwezi M3 na hana elimu yoyote in short hawataki hayo madegree yenu
 
😀😀 ya kupush madawa hapana mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…