Namaanisha nimeshaa zunguka karibia nchi nzima, nimeshindwa hata niwekeze wapi kila mradi ukiisha unahamishwa ndio maana nataka kukaa sehemu moja. nilisoma ATC. Sisi tuko wachache sana na FTC ilishaafutwa.
Mkuu labda ni msaidie. FTC ni Full Technician Certificate. Ni elimu ambayo Nyerere aliileta akiiga mfumo wa waingereza na ilikuwa ni kuzalisha mafundi ili waweze kufanya kazi viwandani na za ujenzi kwa ujumla. Kwa lugha nyingine inaitwa Mchundo. Kama umewahi kusikia mafundi Mchundo basi ndio hao.
Kiukweli ilikuwa elimu ngumu sana na ilikuwa inafundisha deeply theory and practical. Ilibadilishwa na kuja katika mfumo wa Diploma miaka 2007 kama sikosei.
Binafsi huwa nawakubali sana FTCs kwakuwa wengi wanajua kazi tofauti na diplomas.
Kazi ya kukaa Dsm tu kweli umekosa! Umejaribu kupita vijiweni, beach zote, mabanda ya kupumzikia abiria UBT umekosa kweli.
Basi watakua wameshakuroga maskini.....
Maskini angejua mikoani watu wenye elimu wanavyotanua asingetamani kung'ang'ania mikoani.
Angejenga CV huko kwenye Senior Management levels then akishaunda mtandao anarudi Dsm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.