beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
Asante mkuuNgoja niwacheck jamaa zangu, then nitakupa feedback
Tuambizane msinisahau jama.leo nimezulula mule ndanii..ila cjakata tamaa ntard tena!!ukipata pa kushika tuambizane
poa..mi nasubl hadnxt week ntaenda tena mana kwa sasa naona wafnybiashra bado hawajakua wengi..yaan ma banda mengi bado yamefungwaTuambizane msinisahau jama.
Poa dear,unipe mrejesho please.poa..mi nasubl hadnxt week ntaenda tena mana kwa sasa naona wafnybiashra bado hawajakua wengi..yaan ma banda mengi bado yamefungwa
Ofisi zao zinapatikana wapi mkuuWafuaten max malipo hua wanachukua tender pale, wanapenda kuchukua wanafunzi wa Tia ila kwasasa naona watashndwa maana tia wanamithan
Asante Sana mkuu ngoja niwachekNamba zao 0653286810 0787286810
Shukrani mkuu Kama unajua sehemu nyingine nijuzeHakuna wengine wanaochukua tender zaidi ya
Max Malipo? Ofisi yao ipo millennium towers.
Asante kwa taarifa. Umeokoa wengi kutapeliwa.American supermarkt wamekanusha hzo habari za ajira msimu huuu wa sabasaba katika page yao ya facebuk...ni wajanja tu wamjini wametengeneza tangazo hata hzo no hazipatikani.
Asante mkuu maana mm nilipiga nikaambiwa imefungiwaAmerican supermarkt wamekanusha hzo habari za ajira msimu huuu wa sabasaba katika page yao ya facebuk...ni wajanja tu wamjini wametengeneza tangazo hata hzo no hazipatikani.