Natafuta kazi mimi ni videographer na photographer pia ni graphics designer

cantona55

Member
Apr 4, 2020
24
26
Habari zenu wakuu..

Mm ni videographer na photographer pia ni graphics designer..

Nauzoefu wa kazi hizo kwa mwaka Sasa.. na ninafanya kazi zangu( hizo apo CHINI) ila Sina vifaa vya production.

Nimeona ili nifanye kazi kwa umakini na uweledi wa hali ya juu.. NI vzur nitafute kazi kwny taasisi au kampuni yoyote ya video production.

Maana nitakapokuwa kwny kampuni yenye vifaa Kaz yangu itakuwa moja tu.. ni kufanya Kaz kwa ubunifu wa Hali ya juu Zaid...
Baadhi ya kaz zangu
 
Huyo model Yuko wapi now?
 
Nime ku PM mkuu kuhusuiana na huyo mdada pichani nifanyie connection ntakupa 5000
 
Ni pm no yako chief tuongee jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…