Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22.Nimehitimu diploma ya uhasibu june 2014.Msaada kwa mwenye taarifa ya kazi za kihasibu kwenye taasisi yoyote hata kwenye maduka ya bidhaa za jumla...ASANTENI:smile-big:
mkuu mimi ni mgeni kwenye jamvi hili la jf, hii ni post yangu ya kwanza bado sijaruhusiwa pm mpaka nifikishe post 5..naomba unijulishe kwa njia nyingine mkuu