mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 Dec 22, 2016 #1 Wakuu habari zenu, Natafuta kazi ndani ya mkoa wa Mbeya, nina degree ya management. Wakuu naombeni msaada wenu.
Wakuu habari zenu, Natafuta kazi ndani ya mkoa wa Mbeya, nina degree ya management. Wakuu naombeni msaada wenu.
R rojazy Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5 Reaction score 1 Dec 22, 2016 #2 habari zenu ndugu naitwa rajabu saidi natafuta kazi kwenye magari nina leseni crass D mwenye uwezo wa kunisaidia 0677010553 mawasiliano yangu
habari zenu ndugu naitwa rajabu saidi natafuta kazi kwenye magari nina leseni crass D mwenye uwezo wa kunisaidia 0677010553 mawasiliano yangu
mkata-mkaa JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 296 Reaction score 181 Dec 22, 2016 Thread starter #3 rojazy said: habari zenu ndugu naitwa rajabu saidi natafuta kazi kwenye magari nina leseni crass D mwenye uwezo wa kunisaidia 0677010553 mawasiliano yangu Click to expand... Mkuu ni class D
rojazy said: habari zenu ndugu naitwa rajabu saidi natafuta kazi kwenye magari nina leseni crass D mwenye uwezo wa kunisaidia 0677010553 mawasiliano yangu Click to expand... Mkuu ni class D
L laki si pesa. JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 9,984 Reaction score 9,757 Dec 22, 2016 #4 Utaweza kazi ya kupiga nondo?
Steven Nguma JF-Expert Member Joined Dec 6, 2016 Posts 1,074 Reaction score 1,148 Dec 22, 2016 #5 rojazy said: habari zenu ndugu naitwa rajabu saidi natafuta kazi kwenye magari nina leseni crass D mwenye uwezo wa kunisaidia 0677010553 mawasiliano yangu Click to expand... Magari makubwa au madogo?
rojazy said: habari zenu ndugu naitwa rajabu saidi natafuta kazi kwenye magari nina leseni crass D mwenye uwezo wa kunisaidia 0677010553 mawasiliano yangu Click to expand... Magari makubwa au madogo?
R rojazy Member Joined Oct 27, 2014 Posts 5 Reaction score 1 Dec 27, 2016 #6 Steven Nguma said: Magari makubwa au madogo? Click to expand... magari madogo