Natafuta kazi kundesha gari za IT

Natafuta kazi kundesha gari za IT

peter_intelligent

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
607
Reaction score
522
Nina uhitaji wa kupata kazi ya kuendesha gari za IT .

Leseni na uzoefu wa kuendesha gari ndogo ninavyo ila tu namna ya kupata hizo kazi ndio sifahamu wapi pa kuanzia.

Ninapoishi ni Dar es salaam.

Kwa mwenye kufahamu hayo maswala, tafadhali naomba unipe mwongozo nifanyeje niweze kupata aina ya hizo kazi na Mungu atakubariki zaidi na zaidi.

Ahsanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uzoefu wa kuendesha gari na uzoefu wa kuendesha gari usiku masafa marefu.. Kama uzoefu huo huna, kaa mbali na hii kazi.. Unaweza ukapotea (ukafa) siku si zako.
 
Kuna uzoefu wa kuendesha gari na uzoefu wa kuendesha gari usiku masafa marefu.. Kama uzoefu huo huna, kaa mbali na hii kazi.. Unaweza ukapotea (ukafa) siku c zako.
nashukuru ndg kwa ushauri ila uzoefu wa kuendesha gari usiku nadhani unapatikana kwa kuendesha gari usiku na si vinginevyo.

kikubwa ni kuwa makini kwa sababu usiku uwezo wa kuona mbali ni mdogo hapo hata mzoefu hawezi kuona mbali.

kazi yeyote inakuwa na changamoto zake kikubwa ni kumtanguliza Mungu kabla ya safari ila haipaswi kukiogopa kifo kwani tumeumbiwa wanadamu hvyo ni ngumu kukiepuka hata ukikwepe vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu keshasema anataka Gari za IT , mpeni michongo ya IT au piteni hivi kujifanya much know kila kitu mchangie akati mtoa mada hamjamsaidia shida yake is useless

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli kabisa ukisemacho,baadhi yetu humu hawaguswi na shida ya mwingine badala yake kinachofuata ndio hali kama uionayo ndg yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejaribu kutembelea bandarini unaweza kutatua shida yako....ukikutana na madereva utapata mwanga uanzie wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom