Babu wa Watu
Member
- Oct 31, 2021
- 40
- 101
Yaah!kazi zimekua ngumu hv sasaKutafuta kazi nako ni kazi kwelikweli
Ndio Tanzania yetudah asee ujuzi wote huo na hupat sehemu ila cha ajabu kuna mbumbumbu mmoja hana ujuzi hata wa kushika spana anakabidhiwa asimamie gereji au anapewa gari aendeshe kula misele tu
Yaah!kazi zimekua ngumu hv sasa
Mambo ya Rizki haya jamaa angu kwaiyo Kila mtu Mwenyezi Mungu hupatia kwa wakati wake....dah asee ujuzi wote huo na hupat sehemu ila cha ajabu kuna mbumbumbu mmoja hana ujuzi hata wa kushika spana anakabidhiwa asimamie gereji au anapewa gari aendeshe kula misele tu
Naam soko la Ajira gumu...Ndio Tanzania yetu
Mzee tafuta kijiwe, chukua madogo wa 2 au 1.Nakam mjasiriamali unawazo la kibiashara la mtaji wa 30 to 50k unaweza leta hapa.....
Liwe la kutembeza au vyovyote vile Mimi Sina noma litafanyiwa kazi
NB:lisiwe la kupika pika
Shukran sanaKila la kheri mkuu
Hili ngoja nilifanyie kazi mwenyewe sidhani kama dogo atahitajikaMzee tafuta kijiwe, chukua madogo wa 2 au 1.
Kanunue miguu ya kuku, vichwa, Kisha safisha na uikaange.
Dogo aki kaa site Ina toka fresh kabisa.
Una karibishwa Sana, kikubwa kama uko dar ndo bwelele Sana.Hili ngoja nilifanyie kazi mwenyewe sidhani kama dogo atahitajika
Ntakupigia hesabu nione faida yake Ikoje
Wall-erase job also is job truetrueKutafuta kazi nako ni kazi kwelikweli
Dah hizi Sasa sifa🤣😁😁Wall-erase job also is job truetrue
Nakubali Mkuu .... shukran sanaUna karibishwa Sana, kikubwa Jana uko dar ndo bwelele Sana.
Nenda masokoni kule ndani, ongea na wachina kuku, huwa Wana yakusanya lumbesa.
Sasa wewe ongea kiume ukaze, iki bidi onyesha sura ya huruma, kuwa aku achieve kwa Bei nafuu.
Hapa uta jikuta life goes on