Jambo wanajamvi. Mimi ni kijana wa kitanzania, Umri wangu naelekea Miaka 28, nna Elimu ya Uhasibu (Advanced Diploma), Elimu ya Ufundi na Matumizi ya Computer( Pc Maintenance) toka Veta, nna Uzoefu wa kuendesha magari 4wd, salon na ma bus kwa miaka 6 na leseni yenye madaraja A, A2, B, D na E. Bila kusahau certificate ya Elimu ya Kidato cha sita (ACSE).
Katika Kuongezea, Nimepitia mafunzo ya Kijeshi JKT kwa kujitolea (Miezi 6), kwa sasa nafanya Training katika kampuni binafsi ya masuala ya Ulizi kama security Officer(Ni mwezi sasa). Nimekuja Jamvini kuomba msaada wenu maana muda unayoyoma na huku katika training nafasi za ajira( za kuziba gaps) hazijatokea bado so kuna uwezekano wa kumalizia training next week na kurudi nyumbani kungojea nafasi zikitoka.
Kwa sasa nafanya shughuli za Ufundi Computer na Contract Diver ili kujikimu mahitaji yangu hapa mjin. kwa mwenye Info za Ajira yoyote ambayo inaweza ikaendana na Qualifications zangu (Iwe Guarding, Driving n.k) tafadhali wasilianana nami kupitia e mail:- sumamajala@gmail.com au 0752 981 380.
Natanguliza shukrani.