Hapana sikushauri solanum ufanye kazi yoyote eti ili mradi upate riziki! Hiyo ni hatari sana, ushauri tafuta shughuli yoyote ile YA HALALI, maana ukisema yoyote kuna watu wanatafuta vijana (Punda) wa kubeba unga sasa hiyo ni hatari, wapo wenye magenge ya uhalifu nao wanatafuta vijana.
Wa PM hao waliokuambia uingie PM wanaweza kukusaidia solanum, usikate tama ndugu yanguSawa mkuu kazi yoyote iliyo halali
Ahsante mkuu, hali ni ngumu aisee we acha tu hadi nafikia kulala na njaa siyo mchezoPole sana mkuu.
Kuwa mvumilivu ipo sikuAhsante mkuu, hali ni ngumu aisee we acha tu hadi nafikia kulala na njaa siyo mchezo
Sawa mkuu nimesha PM sema tu kazi ipo nje ya uwezo wanguWa PM hao waliokuambia uingie PM wanaweza kukusaidia solanum, usikate tama ndugu yangu
Mkuu nipigie hilo pande kama itafaa..Sawa mkuu nimesha PM sema tu kazi ipo nje ya uwezo wangu
Hapana.kuna sehemu wanalimisha.20 kwa 20.unalipwa 6000.Unataka umwambie arudi kijijini kwao akalime?
Kaz kaz anayetaka punda sijui ngamia aniPMHapana sikushauri solanum ufanye kazi yoyote eti ili mradi upate riziki! Hiyo ni hatari sana, ushauri tafuta shughuli yoyote ile YA HALALI, maana ukisema yoyote kuna watu wanatafuta vijana (Punda) wa kubeba unga sasa hiyo ni hatari, wapo wenye magenge ya uhalifu nao wanatafuta vijana.