Natafuta kazi jamani!

Natafuta kazi jamani!

solanum

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
203
Reaction score
99
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi, muaminifu nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka juzi chuo, toka nimalize chuo nimehangaika sana kutafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana kwangu nimefika wakati nalala na njaa au kupata mlo mmoja tu kwa siku nipo Dar es salaam, sichagui nipo tayari kufanya kazi yoyote ile iliyo halali kwa yeyote mwenye kazi nipo tayari 0758 106 501
 
duuu polee sana mkuu...pambana hope mungu atasaidia.
 
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume mchapakazi, muaminifu nina bachelor degree of science in food science and technology nimemaliza mwaka juzi chuo, toka nimalize chuo nimehangaika sana kutafuta kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa sijafanikiwa kwa lolote na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana kwangu nimefika wakati nalala na njaa au kupata mlo mmoja tu kwa siku nipo Dar es salaam, sichagui kazi kwa yeyote mwenye kazi nipo tayari 0758 106 501
Unatafuta kazi ya aina gani?
 
Pigs bodaboda ajira rahis kwa vijana
 
pole sana kaka.......tafuta sehemu ujitolee kwenye fani uliyosomea huenda ikawa njia ya wewe kupata kazi
 
Tutaamini vip kama unazo izo sifa za elimu ulizozitaja? Tunahitaji tuone vilelezo,ila samahani lakin mkuu.
 
Bachelor degree of science in food science and technology.

Keep it up kijana
 
Sawa nimeona ila hiyo kazi ipo nje na uwezo wangu mkuu
 
Kwa sasa yoyote tu ili mradi nipate riziki
Hapana sikushauri solanum ufanye kazi yoyote eti ili mradi upate riziki! Hiyo ni hatari sana, ushauri tafuta shughuli yoyote ile YA HALALI, maana ukisema yoyote kuna watu wanatafuta vijana (Punda) wa kubeba unga sasa hiyo ni hatari, wapo wenye magenge ya uhalifu nao wanatafuta vijana.
 
Back
Top Bottom