Natafuta kazi hata housegirl nchi za nje

Anayetaka connection ya kwenda Burundi au Msumbiji na anajua Kireno anicheck PM
 
ninaweza kukuunganisha na kazi ya ulinzi kwa hapa tanzania mshahala unaanzia 250,000/= kama upo dar es salaam nenda mikocheni b ukiwa unatokea moroko au kawe shuka kituo kinaitwa kwa mwinyi...ulizia ofisi za gardaworld wacha maombi yako hapo maombi ya kazi hiyo tumia cheti chako cha kidato cha nne vyeti vyako vingine ficha kabatini...uwe na miaka 24 uwe mrefu usiwe na ulemavu wowote...{kazi iyo ni ulinzi ndio maana utimamu wa mwili umezingatiwa} hakuna rushwa yoyote zaidi ya vigezo.
..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…