Natafuta kazi hata housegirl nchi za nje

ninaweza kukuunganisha na kazi ya ulinzi kwa hapa tanzania mshahala unaanzia 250,000/= kama upo dar es salaam nenda mikocheni b ukiwa unatokea moroko au kawe shuka kituo kinaitwa kwa mwinyi...ulizia ofisi za gardaworld wacha maombi yako hapo maombi ya kazi hiyo tumia cheti chako cha kidato cha nne vyeti vyako vingine ficha kabatini...uwe na miaka 24 uwe mrefu usiwe na ulemavu wowote...{kazi iyo ni ulinzi ndio maana utimamu wa mwili umezingatiwa} hakuna rushwa yoyote zaidi ya vigezo.
..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom