Natafuta kazi hasa ya udereva

Natafuta kazi hasa ya udereva

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Nipo maeneo ya mwanza natafuta kazi hasa ya udereva sababu ndio fani yangu kubwa naendesha magari ya aina yote manual na auto iwe tax,hilux,pickup na mengineyo leseni yangu ina niruhusu mwisho canter na nipo tayari kufanya mkoa wowote uzoefu miaka sita.....kwa maasiliano nicheki DM au kelvinfrnk@hotmail.com.N hiyo hapo chini ndio leseni yangu.
Driving license_2.jpg
 
Pitia n.i.t ubusti hiyo leseni yako na upanue wigo wa fursa. Kwa daraja D ngumu sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom