Natafuta kazi halali

Natafuta kazi halali

Joined
Oct 8, 2017
Posts
7
Reaction score
2
Hellow wapendwa kwa jina naitwa jackline naishi dar es salam elimu yangu n kidato cha nne nmemaliza mwaka 2014 natafuta kazi za usafi Hotelin au maofisin au kaz ya supermarket najua kusoma na kuandika napia najua mahesabu na pia najua kingereza japo sio sanaa nahitaj kaz kwa moyo wangu wote mana hapa nilipo npo tyu sina kazi umri wangu ni miaka 20 nitashukuru kwa yeyote atakaye nisaidia kufanikisha ombi Langu asanteni.
 
Hayo ni maamuz yangu sijashauriwa na mtu yeyote na nafsi yangu itaridhika atakama itakuwa ya kitumwa
 
Kwa moyo mkunjufu niliamua kumsaidia mtu hapa hapa JF alikua na shida kama yako duh yaliyonikuta sintokuja kurudia hakika JF kuna vituko .
 
Back
Top Bottom