Natafuta kazi, Engineer

SNIPER15

New Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
3
Reaction score
1
Habari za kazi wana JF.Nimekuja kwenu kuomba msaada au kazi kwa yeyote mwenye connections maana jamii forums hakuna kinachoshindikana.Mimi ni graduate wa mwaka huu Civil engineering, nilikua naomba yeyote anayeweza kunisaidia kwa hili , hata internship naweza fanya kwa kuanzia.Natanguliza shukurani Mungu awabariki
 
Doh mkuu Wewe upo sehemu gani tusaidiane kutafuta hata mimi nimeweka bandiko kama hili humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…