Natafuta kazi, elimu ya Kidato cha Nne

Natafuta kazi, elimu ya Kidato cha Nne

Kuna mwenzio ana PHD nae yupo humu anatafta kaz mkuu,,,omba sana Mungu atakusaidia
 
Mungu akujaalie upate ila kwa elimu yako usiwe na matarajio makubwa na zaidi uvumilie na baadhi ya post zitakazofuata
 
jitaidi upate ujuz binafsi ili ujiajil mwenyewe 2 ...myb jifunze program za computer kama kudisgn in photoshop ...then ukiweza anza kutafuta tenda kwenye masaloon mahotel, ya kudisgn mabango... ukiisi hii itakusaidia anza kuifanyia kaz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom