Natafuta Kazi duka la madawa

Natafuta Kazi duka la madawa

prinac rogers

Member
Joined
Mar 7, 2018
Posts
20
Reaction score
9
Habarini wana jf,Mimi ni msichana elimu yngu kidato cha nne,pia nimepitia mafunzo ya utoaji wa dawa duka la madawa yaliyoendeshwa na TFDA mwaka 2012,Nina cheti cha addo ,ninahitji sehem ya kuuza duka La madawa sehemu yoyote ndani ya mji wa dar ninapatikana mlandizi kibaha namba zangu 0759947921,0712863626,0621674379 shukrani kwa wote.
 
Back
Top Bottom