Kwanza pole na majukumu wanajamii. Mi ni mtanzania(me) mwenzenu natafuta kazi ambayo itaniwezesha kujikimu kimaisha nina bachelor ya project planning management&community development.
Sina uzoefu ila ni mchapakazi, moyo wa kujituma na kujitolea panako bidi na mwenye heshima kwawote.
Tafadhali msaada wenu ni muhimu sana nami niweze kujikwamua kwenye hali hii ngumu jamani.
shukrani