rhodasia mkindi
New Member
- Apr 16, 2015
- 3
- 0
Naitwa Rhodasia....naishi DAR kwa sasa ni binti wa kitanzania nilie na umri wa miaka 24 kwa sasa..ni mhitimu wa chuo kimoja hapa dar es salaam...ndugu zangu nimekuja hapa nikiwa na lengo moja tu kwenu kaka zangu..dada zangu..baba zangu...na kina mama zangu....kuwaomba msaada wenu wa kazi...kama TITLE hapo juuu inavyosomeka mm n mhitimu wa DIPLOMA ya UonGozi katka biashara yan (bussiness admistration) natafuta kazi ya aina yyte ile ambayo itanisaidia kwa kipindi hiki...lkn pia napenda kua wazi kwenu au kwa yeyote atakae guswa na hili tangazo kua...SIJAWAHI KUFANYA KAZI YA AINA YYTE maishani mwangu zaid ya masomo ninayoptia..FIELD na kazi za kawaida...so sina uzoefu wa aina yyte ile ila kwa alie na moyo wa kunisaidia..naaamin chchte ambacho atahtaji nikifanye lazma atanifundisha na kunielekeza..kuotia hapo ntakua bora na kufanya vzr...napenda kuwasilisha ombi langu kwenu...nikiwa kama mdogo wenu...dada enu..mtoto wenu...ndugu yenu...
NOTE: nashukuru kwa yeyote mwenye moyo wa kunisaidia lkn ana nafasi za BAR..AU SEHEMU YA VILEVI..asante kwani sitoweza kufanya...
MAWASILIANO : rhodasiamkindi@gmail.com
phone:Ukipga omba kuongea na rhoda -0653321010
ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.
NOTE: nashukuru kwa yeyote mwenye moyo wa kunisaidia lkn ana nafasi za BAR..AU SEHEMU YA VILEVI..asante kwani sitoweza kufanya...
MAWASILIANO : rhodasiamkindi@gmail.com
phone:Ukipga omba kuongea na rhoda -0653321010
ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI.