Natafuta kazi; Clearing Feight and Forwarding

zebanga watelanga

JF-Expert Member
May 3, 2013
862
398
Wadau,

Nmemaliza diploma ya clearing freight forwading port management ktk chuo cha Bandari mwaka jana nahitaji kazi ikishindikana hata kwa kuanza kujitolea ili nipate uzoefu wa kazi.
simu 0755984282

NIPO DAR ES SALAAM.
 
Last edited by a moderator:
Ni ishu kupata Kazi now makampuni mengi yanapunguza watu Pili Kazi hii kwasasa haina maslahi kabisa nakushauri ajira nyingine usipoteze mda wako nyenye clearing i
 
MISIPO KIMASLAHI KWASANA NANGAIKA NIPATE UJUZI KWANI MWEZI WASABA NATAKA KUSOMA TENA DEGREE

lengo langu kupata uzoefu ma experiences ina hitajika sana kwakazi zasikuizi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom