Wakuu habari,
Wakuu mimi ni Civil engineer nina uzoefu wa miaka 5 kwa sasa na nipo katika mchakato wa kujiandikisha kama professional engineer katika bodi ya mainjinia.
Hivyo basi kama kuna mtu anahitaji civil engineer namba yangu ni 0742026918
Asante.
mbona hujasema ni engineer kwa level ganii
All the best