Natafuta kazi - business development/ project management

Joined
Aug 22, 2016
Posts
5
Reaction score
1
Salaam Wakuu
Mimi ni Kijana mwenye ujuzi kwenye masuala ya utafiti wa masoko (Market research), Mipango , Ufuatiliaji na Utekelezaji, ( Planning, Monitoring and Evaluation), Mikakati na ubunifu (Strategy and innovation).

Elimu yangu ni shahada ya Uzamili kwenye Sayansi ya jamii ya Uchumi (Master's degree of Arts in Economics)..ufaulu wangu ni wa daraja la juu kabisa, nina uzoefu wa miaka kadhaa kwenye field na desk work.

Ninatafuta nafasi kwenye kampuni ndogo ( Immediate startup) au za kati, kwenye kitengo cha ubunifu, Mipango na Masoko. Mimi ni mchapakazi, muadilifu na ninaeaminika.

Nitafurahi kusikia kutoka kwenu nitumie contacts PM nitakujibu... nipo radhi kuanza mara moja.
 
Umetisha mkuu.
 
Mkuu kama.ufaulu upo vzuri na wewe ungeenda.kupiga kazi e.umejarib khhusu kfundsha vyuoni?
 
Mbona zoomtanzania wanatangaza kazi nyingi sana....
 
Zoom wahuni kabisa. Sehemu reliable ni kwenye magazeti au TAYOA
Ukitaka upate kazi zoom, unafungua link ya hio post kuna sehemu ya download description humo utakuta kila kitu usitume kazi direct kwa zoom, bali tafuta email ya hio kampuni, ku verify ukweli wa hilo tangazo unaigoogle hio kampuni unaiona email yake au unaenda tayoa, kazibongo etc au haujui kutafuta kazi mkuu?
 
Maelezo mazuri mkuu!!! Ni kama kuna kitu cha ziada ulitaka kutupa sisi tunaotafuta ajira...malizia kabisa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom