Habari ya muda wakuu,
Nimekuja mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kumudu maisha ya kila siku, kwa taaluma me ni muhitimu wa Bsc,. Agricultural Economics and Agribusiness kutoka Sua miaka 5 iliyopita Umri wangu ni miaka 28, jinsi Me.
Nina uzoefu wa kufanya kazi katika ununuzi wa mazao, data Entry pia nina ujuzi wa kutumia kumpyuta- Microsoft Excel & Word.
Naweza kufanya kazi tofauti na kada yangu, kwa sasa nipo Morogoro ila naweza kufika sehemu yoyote ndani ya Tanzania. Mawasiliano yangu 0713491412