Natafuta kazi au ajira

Natafuta kazi au ajira

erick msafiri

New Member
Joined
Apr 5, 2025
Posts
2
Reaction score
4
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,mkazi wa dar es salaam.Nina uhitaji wa kazi yoyote ambayo inaweza kuniingizia kipato.Kazi iwe official au kibarua naweza kukidhi vigezo vyake sababu nina vyeti mbalimbali ikiwemo cha A level na chuo endapo vitahitajika.mawasiliano 0696970622
 
Una uzoefu wa Shughuli zipi...? ( Official na Kibarua)

Za kibarua: ni zipi unaweza kufanya...!?

Kiwango cha Elimu..!?

Una Taaluma gani..!?
 
Una Taaluma gani.

Una uzoefu wa Shughuli zipi...? ( Official na Kibarua)

Za kibarua: ni zipi unaweza kufanya...!?

Kiwango cha Elimu..!?

Una Taaluma gani..!?
official naweza fanya kuendana na elimu yangu,mm ni development expert nimehitimu SUA 2023 Bachelor in rural development...lakini kwenye kibarua namaanisha naweza fanya shughuli yoyt inayohusisha uelewa wa kawaida wa binadamu kama waiter,usafi na shughul nynginezo
 
Back
Top Bottom