Hi wakuu,natumai hamjambo.
Jaman ndugu zangu nilikuwa naomba niwashirikishe hili,natafuta kazi kama vile supermarket,reception hata duka la nguo.
Wasifu wangu;
Form four,college (Nina Advance certificate of Journalism).
Ni mcheshi sana,naongea kiswahili na English kwa ufasaha.
N.B.
Napendelea zaidi Arusha maana ndipo makazi yangu yalipo.