Mashao lole
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 484
- 490
Mshahara mdogo sana, nashukuruMshahara 40_45 kuuza duka upo tayari
Kila la kheri mkuuSalam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
ShukraniKila la kheri mkuu
nicheki 0626762227Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
Sawa mkuunicheki 0626762227
Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
Mkuu hiyo 40-45 kwa wiki au kwa mwezi.Je kama kwa mwezi ataishi kwako na maswala ya chakula na nauli itakuwaje.Mshahara 40_45 kuuza duka upo tayari
BintiWe ni binti au kijana wa kiume
Anakaa kwangu,chakula malazi yote kwangu kwa mwezi,na awe mwaminifu na mwenye kujituma,kama upo tayari weka namba ili tujuane wewe pamoja na nduguzo wa karibuMkuu hiyo 40-45 kwa wiki au kwa mwezi.Je kama kwa mwezi ataishi kwako na maswala ya chakula na nauli itakuwaje.
Kama unahitaji kweli serious nipigie 0659364407 tufanye kazi - Nina elimu nzuri tu ( Ya darasani na Maisha )Anakaa
Anakaa kwangu,chakula malazi yote kwangu kwa mwezi,na awe mwaminifu na mwenye kujituma,kama upo tayari weka namba ili tujuane wewe pamoja na nduguzo wa karibu
Unachelewa ndugu njoo nikupe mfumo mzuri wa kuingiza Pesa kwa elfu kumi tu na uweze Kupata mtaji wako kwa muda mfupi so zaidi ya wiki mbili ila inabidi uwe serious nakuhakikishia utakuwa na ofisi yako na utapiga Pesa sana Mkuu Namba 0625840448Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
Kama kweli weka hapa huo mfumo wakoUnachelewa ndugu njoo nikupe mfumo mzuri wa kuingiza Pesa kwa elfu kumi tu na uweze Kupata mtaji wako kwa muda mfupi so zaidi ya wiki mbili ila inabidi uwe serious nakuhakikishia utakuwa na ofisi yako na utapiga Pesa sana Mkuu Namba 0625840448
Aliyekwambia nikiweka hapo itakuwa kweli na nisipo weka ni uongo Nani??????Kama kweli weka hapa huo mfumo wako
Then utafute
Kijana kazi hiyo. Fata link hii angalia kuna mtu anatafuta watuSalam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
Mkuu ungeweka hapa hayo maelezo kwa ufupi kwani wanaotafuta ajira ni wengi, ni biashara ya mtandao au?Unachelewa ndugu njoo nikupe mfumo mzuri wa kuingiza Pesa kwa elfu kumi tu na uweze Kupata mtaji wako kwa muda mfupi so zaidi ya wiki mbili ila inabidi uwe serious nakuhakikishia utakuwa na ofisi yako na utapiga Pesa sana Mkuu Namba 0625840448