Natafuta Kazi Accounts/Finance/Office Administrator/Procurement

Natafuta Kazi Accounts/Finance/Office Administrator/Procurement

Muzzie

New Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
3
Reaction score
2
Habari wapendwa. Mimi ni mtanzania ninayeishi Ubungo, Dar es salaam. Ninatafuta kazi kati ya Dar es salaam, Arusha, Moshi, Mwanza, Mbeya, Dodoma au Morogoro.

Nina shahada (Degree) ya Uhasibu na Fedha (Accounting and Finance). Nina uzoefu wa miaka minne (4) kwenye fani za uhasibu na fedha pia Ugavi na utawala.

Nimefanya kazi katika Asasi zisizo za kiserikali (NGO) kwa muda wa mwaka mmoja kama Finance and Administration Officer na pia nimefanya kazi za utawala, fedha, uhasibu na ugavi kwa muda wa miaka mitatu katika kampuni binafsi.
Uzoefu wangu wa kazi ni kama ifuatavyo;

-Managing Accounts receivables and Accounts payable
-Payroll management
-Petty cash management
-Budget Preparation
-Bank Reconciliation
-Customer payments reconciliations
-Cluster management
-Stock handling, management and logistics.
-Preparation and submission of workers monthly NSSF/PPF and WCF contributions.
-Filling and submitting VAT returns, SDL and PAYEE
-Handling of fixed assets register, Monitor of Logbooks and Maintenance records,
- Preparation of Tender and service proposal.
- Management of Office Suppliers.

Accounting softwares
- Tally EPR 9
- Epicor
- QuickBooks
- Finacon

Notice period: One week
Kwa atakaekua na interest na mimi please anifuate Dm at anytime.

Ahsanteni sana
 
Hongera mkuu umetoa details zote za muhimu, Best of Luck.
 
GSM wanatafuta wahasibu! Hebu nenda kasome kwenye IG account ya Millard Ayo,kuna tangazo la GSM kapost huko
 
Back
Top Bottom