Mumlii JF-Expert Member Joined Mar 14, 2021 Posts 266 Reaction score 364 Jun 22, 2025 #1 Kwa bei ya wakulima nitazipata maeneo gani? Nko ushirombo
Mzee Wa Kale Kabisa JF-Expert Member Joined Mar 25, 2018 Posts 2,627 Reaction score 4,345 Jun 22, 2025 #2 Unahitaji kiasi gani
Mangwea1900 JF-Expert Member Joined May 29, 2025 Posts 2,484 Reaction score 3,268 Jun 22, 2025 #3 Nyie madalali mnatusumbua sana.Dalali akitaka kitu anataka kukutana na mwenye mali ila wewe mteja ukitaka mali kumuona mwenye mali ni marufuku hadi wanatishia kumua mwenye mali au kukupiga wewe
Nyie madalali mnatusumbua sana.Dalali akitaka kitu anataka kukutana na mwenye mali ila wewe mteja ukitaka mali kumuona mwenye mali ni marufuku hadi wanatishia kumua mwenye mali au kukupiga wewe
M Muuzaji Mkuu JF-Expert Member Joined Jun 18, 2022 Posts 891 Reaction score 1,991 Jun 25, 2025 #4 Weka maelezo yaliyonyooka boss wangu •Unataka karanga kiasi gani? •Uko wapi? •Unakuja mwenyewe au unataka kuagiziwa? Karanga zipo za kutosha hapa Ludewa
Weka maelezo yaliyonyooka boss wangu •Unataka karanga kiasi gani? •Uko wapi? •Unakuja mwenyewe au unataka kuagiziwa? Karanga zipo za kutosha hapa Ludewa